Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) - ABNA- Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Mhe. Balozi Dkt. Batilda Burian (aliyevaa Hijab na Mtandio Mweusi), akiwa katika picha ya pamoja na Mheshimiwa Balozi wa Iran Nchini Tanzania, Mwenyekiti wa Jumuia ya Maridhiano na Amani (JMAT-TAIFA), Sheikh Dkt. Al-Had Mussa Salum, Rais wa Chuo cha Kimataifa cha Al-Mustafa (s) - Tanzania, Hujjatul-Islam wal Muslimin, Dkt. Ali Taqavi, Mkurugenzi wa Kitengo cha Utamaduni wa Iran, Dkt. Maarifi, Sheikh Mkuu wa Jumuia ya Shia Ithna Ashari Tanzania, Maulana Sheikh Hemed Jalala, na viongozi mbalimbali waliohudhuria katika Kongamano la Qur'an Tukufu lililofanyika leo hii Jijini Tanga - Tanzania katika uwanja wa Michezo wa Mkwakwani ili kusikiliza Kisomo cha Qur'an Tukufu kikisomwa na wasomaji bingwa wa Tajweed kutoka nchini Iran na ndani ya Tanzania.

24 Mei 2025 - 17:21

Tanga Yawakutanisha Viongozi wa Kitaifa na Kimataifa Katika Kongamano la Qur'an Tukufu + Picha

Tumekuwekea hapa chini picha zaidi za tukio

Your Comment

You are replying to: .
captcha